Kanye West ilikuwa kuweka katika hospitali mapema wiki hii baada ya kukatisha mechi ya marudiano ya yake Saint Pablo Tour.
Taarifa ana polepole wamekuwa wakija katika juu ya nini aliendelea, na kwa muda gani yeye wakitarajiwa.
Kwa mujibu wa TMZ:
Kanye West imekuwa katika sura kukata tamaa wiki hii ... Paranoid na maana sana huzuni, na yeye imekuwa kushughulika na masuala haya kwa muda mrefu ... vyanzo vya karibu na Kim na Kanye kuwaambia TMZ.
Imeelezwa baada ya Kanye alipelekwa hospitali Jumatatu yeye alikuwa watu wanaamini walikuwa nje kupata naye, ikiwa ni pamoja madaktari ambao walikuwa kujali kwa ajili yake. vyanzo vyetu wanasema kwa muda hakutaka hata basi madaktari kumgusa.
vyanzo vyetu wanasema paranoia imekuwa kujenga kwa miezi ... ni wazi kwenda njia zaidi ya sababu alisema kwa kulazwa ... upungufu wa maji mwilini na uchovu.
Imeelezwa lengo ni kupata nyumbani kwake Jumatatu na chini ya uangalizi wa daktari wake binafsi, lakini ni mapema mno kujua kama kwamba kitatokea.
Hopefully yeye wataruhusiwa kwenda kufurahia familia yake na kuanza kupata nafuu yake hivi karibuni.
Sunday, November 27, 2016
#FMTZ Vita dhidi ya Birdman na Lil 'Wayne Inaendelea.
Weezy alifanya show juzi usiku katika live Nightclub katika Miami ambapo yeye aliamua Troll zamani wakati bosi wake moja zaidi.
Kama DJ Khaled ya single akishirikiana na Jay Z "I Got Keys" alicheza juu ya wasemaji, Lil 'Wayne aliamua kutupa Roc ishara katika wimbo. Hii husaidia mafuta uvumi kwamba ana aina fulani ya makubaliano na Jay Z na Roc. Tu wiki iliyopita, wakati wa show alibadili lyrics na "mimi nina Me" kusema "mimi nina Motherf *** ing Roc-A-Fella Millionaire. Birdman zimeripotiwa ilijibu kwa kupiga mbali mazungumzo ili kiwahukumu baina yao muda mrefu kama ilivyokuwa kumjongea makubaliano. Kuangalia ni nje hapa chini.
Friday, November 25, 2016
Mourihno kumleta star huyu wa Chelsea ndani ya O.T.
Bila shaka kila mtu anajua kwamba Jose ni shabiki mkubwa sana wa brazilian star Willian kutokana na perfomance aliyoonyesha wakati yupo naye. Sasa hivi ameonekana kuto shine chini ya kocha mpya Conte. Kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa Chelsea umefanya hadi mchezaji huyu asionyeshe makali yake.
Ripoti kutoka kwenye vyombo vya habari vya England ni kwamba ikifika January, manager wa Manchester united atajaribu kumleta mchezaji huyo ndani ya kikosi chake. Imekua ghafla sana kwa mabadiliko ya uwnajani kwa mchezaji Willian ambae msimu uliopita alikua anafunga magoli lakini imekua tofauti kwa sasa hivi.
Mambo yote yatafahamika ikifika kipindi cha usajili wa dirisha dogo mwezi January.
CHEKA AAMUA KWENDA KUNYOOSHA MSULI INDIA
Bondia nyota wa ngumu za kulipwa nchini, Francis Cheka ‘SMG’ amepata pambano nchini India.
Cheka amesema anakwenda kupigana India huku akikiri kwamba, njaa nayo ni tatizo.
Amesema atakwenda nchini India kucheza pambano la ubingwa wa WBC Asia Pacific dhidi ya Vijender Singh raia wa nchi hiyo kwani amechoshwa na njaa ya kukosa mapambano ya kucheza muda mrefu.
Pambano hilo la raundi 12 linatarajiwa kupigwa Desemba 17, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Michezo wa Thyagaraj Complex, Delhi, India.
Cheka amesema: “Unajua kazi yangu ni ngumi na nina njaa ya mapambano kwa sababu nimechoshwa kukaa muda mrefu bila ya kucheza sasa, nitahakikisha napata ushindi.”
Hata hivyo, awali alisema anaamini India ni nchi inayokua haraka kimichezo, hivyo anaweza kupata ushindani mkali kuliko wengi wanavyotarajia.
Rukwa: Radi yaua mtoto wa mchungaji

MTOTO wa Mchungaji wa Kanisa la Evangelic, Dorcas Andrew (5) amekufa baada ya radi kumjeruhi vibaya kifuani huku mama yake mzazi, Rhoda Mlela (36) akilazwa kwa matibabu katika Kituo cha Afya kata ya Sopa, wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa baada ya kupoteza fahamu.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, George Kyando amethibitisha kutokea kwa tukio hilo juzi saa 11:00 jioni katika kijiji cha Sopa kilichopo katika wilaya ya Kalambo.
Akizungumza na gazeti hili, Mganga Mfawidhi wa kituo hicho cha afya, Severine Maembe alikiri kumpokea mtoto huyo kituoni hapo juzi jioni lakini alikuwa tayari amekufa.
“Jana(juzi) jioni mtoto huyo aliletwa kituoni hapa kwa matibabu baada ya kupigwa radi akiwa anacheza na watoto wenzake lakini nilipomwangalia alikuwa tayari amekufa, alikuwa amejeruhiwa vibaya sana kifuani,” alieleza.
Aliongeza kuwa mama mzazi wa mtoto huyo amelazwa katika kituo hicho kwa matibabu baada ya kupoteza fahamu muda mfupi baada ya kuelezwa kuwa binti yake amekufa baada ya kupigwa na radi.
Baadhi ya mashuhuda wanaeleza kuwa siku ya tukio Dorcas na mama yake walishuka kwenye gari kijijini hapo wakitokea mjini Sumbawanga ambapo mtoto huyo alipokewa na watoto wa rika lake na kuanza kucheza pamoja huku mama yake mzazi akielekea nyumbani.
“Watoto walikuwa sita pamoja na Dorcas wakicheza chini ya mti, ghafla ikapiga radi na kumjeruhi vibaya mtoto huyo huku wengine wakirushwa huku na kule lakini hakuna aliyejeruhiwa, wote ni wazima ila walipata mshtuko tu,” alieleza mtoa taarifa.
Mashuhuda hao ambao hawakuwa tayari majina yao kuandikwa gazetini kwa nyakati tofauti walidai kuwa mvua ilikuwa hainyeshi wakati radi ilipopiga kijijini hapo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, George Kyando amethibitisha kutokea kwa tukio hilo juzi saa 11:00 jioni katika kijiji cha Sopa kilichopo katika wilaya ya Kalambo.
Akizungumza na gazeti hili, Mganga Mfawidhi wa kituo hicho cha afya, Severine Maembe alikiri kumpokea mtoto huyo kituoni hapo juzi jioni lakini alikuwa tayari amekufa.
“Jana(juzi) jioni mtoto huyo aliletwa kituoni hapa kwa matibabu baada ya kupigwa radi akiwa anacheza na watoto wenzake lakini nilipomwangalia alikuwa tayari amekufa, alikuwa amejeruhiwa vibaya sana kifuani,” alieleza.
Aliongeza kuwa mama mzazi wa mtoto huyo amelazwa katika kituo hicho kwa matibabu baada ya kupoteza fahamu muda mfupi baada ya kuelezwa kuwa binti yake amekufa baada ya kupigwa na radi.
Baadhi ya mashuhuda wanaeleza kuwa siku ya tukio Dorcas na mama yake walishuka kwenye gari kijijini hapo wakitokea mjini Sumbawanga ambapo mtoto huyo alipokewa na watoto wa rika lake na kuanza kucheza pamoja huku mama yake mzazi akielekea nyumbani.
“Watoto walikuwa sita pamoja na Dorcas wakicheza chini ya mti, ghafla ikapiga radi na kumjeruhi vibaya mtoto huyo huku wengine wakirushwa huku na kule lakini hakuna aliyejeruhiwa, wote ni wazima ila walipata mshtuko tu,” alieleza mtoa taarifa.
Mashuhuda hao ambao hawakuwa tayari majina yao kuandikwa gazetini kwa nyakati tofauti walidai kuwa mvua ilikuwa hainyeshi wakati radi ilipopiga kijijini hapo.
1FMTZ: SPECIAL PHOTOSHOOT & COCKTAIL PARTY MODELS AND VIDEO VIXEN.
Karibu kwenye Special Photo shoot kwa gharama ya Tsh. 25,000 tuu ndani ya studio za JanB Multimedia. Hii ni kwa wale wote wanawake warembo ambao wana ndoto za kulipwa pesa nzuri kutokea katika mabango na matangazo ya bidhaa mbalimbali, kuwa models na kufanya kazi na wanamitindo wakubwa, kulipwa na kutokea katika videos za wasanii mbalimbali, nisiku ya kesho nov 26 . Cocktail zitatolewa bure cc @janbkiwia @officialeliulomi #CALLNOW #DONTMIC
Thursday, November 24, 2016
Donald Trump Wito Kwa Unity Katika Shukrani Ujumbe wake
Katika video iliyotolewa kwa YouTube jana usiku, Rais mteule Donald Trump aliwahi Sala ya Shukrani kwa umoja baada ya "muda mrefu na bruising" kampeni msimu.
"Hisia ni mbichi na mvutano si tu kuponya mara moja," alisema. "Ni maombi yangu kwamba juu ya huu Shukrani sisi kuanza kuponya mgawanyiko wetu na kusonga mbele kama nchi moja nguvu na lengo pamoja na sana, kawaida sana azimio hilo." video walemavu comments, kwa sababu tayari kujua nini kwamba sehemu ya maoni bila kuangalia kama. Kama kwa jinsi Trump mipango ya kutumia likizo, atakuwa na familia yake katika Palm Beach. Angalia video hapa chini na hebu kujua kama wewe ni kununua nini yeye kuuza ... na kama unadhani wito wake kwa umoja kufanya chochote wakati wote!
"Hisia ni mbichi na mvutano si tu kuponya mara moja," alisema. "Ni maombi yangu kwamba juu ya huu Shukrani sisi kuanza kuponya mgawanyiko wetu na kusonga mbele kama nchi moja nguvu na lengo pamoja na sana, kawaida sana azimio hilo." video walemavu comments, kwa sababu tayari kujua nini kwamba sehemu ya maoni bila kuangalia kama. Kama kwa jinsi Trump mipango ya kutumia likizo, atakuwa na familia yake katika Palm Beach. Angalia video hapa chini na hebu kujua kama wewe ni kununua nini yeye kuuza ... na kama unadhani wito wake kwa umoja kufanya chochote wakati wote!
Mtazamo Vs. Ukweli: Ukweli Kuhusu Smart Majengo
Jinsi smart ni ofisi yako? Nyumba yako jengo? uwanja wa ndege wa eneo lako?
Kama huna uhakika, wewe si peke yake. utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Honeywell kukuta kwamba hata jengo mameneja na wamiliki hawana picha ya wazi ya jinsi smart vituo vyao ni.
Wednesday, November 23, 2016
KILIO KIKUBWA CHAIBUKA DAR MVUA YATIKISA JIJI LEO Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) yatoa tamnko

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) yataadharisha kuhusu uwezekano wa kuja kwa mvua kubwa yenye upepo, yawataka wananchi wachukue tahadhari.
Yasema mabadiliko ya hali ya hewa kwa sasa yanatokana na kuwepo kwa msimu unaotawaliwa na uwepo wa LANINA ambayo ni ongezeko la hali ya baridi katika eneo la Ikweta ya Bahari ya Pasifiki.
Bado matarajio ya vipindi vifupi vya mvua kubwa na upepo vitaendelea kuwepo katika msimu huu mpaka mwezi Disemba na mabadiliko kidogo yatajitokeza kwa baadhi ya mikoa ambapo mvua zitanyesha kwa wastani.


Diamond na Ommy Dimpoz wazichapa leo.
Siku zimepita na miaka imekwenda hakuna kolabo tuliyoiona lakini “ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni,” ndio tuliyoyaona. Ndipo nikaukumbuka wimbo malkia wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jaydee ‘Siku Hazigandi’ baada ya kuona urafiki uliogeuka undugu wa damu ukiteketea na kugeuka majivu baada ya kuunguzwa na mwanga wa tochi – ni kitu cha kushangaza na kisichowezekana lakini kwa hapo kiliwezekana.
Nilifurahi sana kuna busara iliyotumika kwa kila mmoja kukaa kimya bila ya kumshtumu mwenzake kwa lolote na kila mmoja akifanya kazi kivyake lakini ghafla nuru ya mwanga uliopo kugeuka giza baada ya usiku wa Jumanne hii mtandao wa Instagram ukigeuka uwanja wa ‘Kitchen Party’ kwa Ommy na Diamond kutupiana vijembe vya maneno ya kashfa na kuanza kutoleana siri ambazo kwa mashabiki hatuna uhakika nazo labda wao wenyewe wanajua juu ya ukweli wausemao kwa jamii.
Diamond alianza kwa kuandika kwenye kipande cha video ya wimbo mpya wa Rich Mavoko aliyoiweka kwenye mtandao huo, “Kushindana na Wasio Jua Raha sana hahahahahaha 


…….”
Ommy Dimpoz alijibu kwa kuandika:
Wazee Wa Kupanik Mbona Kama Povuuu Linawatoka #TeamMzikiMzuri VS #TeamUjanjaUjanja
#Kajiandae
#KabaliYao
#WeDontBuyViews
#MeNilijuaTunafanyaMzikiKumbeVitaaa
#NawajuaWazeeWaKuchambaNataniaTu
#PiaNawajuaKwaMitusiLakiniNishajiandaa
#NawaachiaUwanjaMweupeeeWalaSiblokuMtu
#NachangamshaBarazaKidogoooo
#Kajiandae
#KabaliYao
#WeDontBuyViews
#MeNilijuaTunafanyaMzikiKumbeVitaaa
#NawajuaWazeeWaKuchambaNataniaTu
#PiaNawajuaKwaMitusiLakiniNishajiandaa
#NawaachiaUwanjaMweupeeeWalaSiblokuMtu
#NachangamshaBarazaKidogoooo
Diamond alishindwa kuvumilia naye aliandika, “Mtoto wa Kiume kumchukia Mwanaume Mwenzio kisa Kakataa kukupumulia nayo ni #KOKORO.”
Kwa watu wanaofahamu zaidi maneno ya mitaani wanaweza kufahamu kilichoandikwa ndani kina maana gani tena hayapaswi kuandikwa na wasanii wakubwa kama hawa kwenye hadhira hii. Wakati huo huo siku hizi mitandao ya kijamii inatembelewa mpaka na watoto wadogo, je watoto wao au hata ndugu zao wadogo wanaowalea na kuwategemea wakiona mtu anayemuheshimu nyumbani amefanya hivyo mitandaoni unafikiri itakuwaje?
Kumbukeni mlipotoka kwa kuwa ‘Adui yako wa leo ndio rafiki yako wa kesho, na rafiki yako wa leo ndio adui yako wa kesho’.
Basata watoa Tamko nzito kuhusu video mpya ya Rich Mavoko na Diamond Platnumz

Rich Mavoko na Diamond Platnumz wamezichezea sharubu za simba mkali aliyekuwa usingizini.
Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limehisi kuna udhalilishwaji wa wanawake kwenye video hiyo na limesema litatoa tamko lake iwapo litaifungia video hiyo au lah!
“Ktk kusimamia maadili ktk Sanaa & udhalilishaji wanawake tuko thabiti.Video ya #kokoro ya #Mavoko inapitia uhakiki.Taarifa itatoka,” limeandika baraza hilo kwenye akaunti yake ya Twitter.
Video ya wimbo huo iliyofanyika nchini Afrika Kusini inaonesha wanawake waliopo kwenye Jacuzzi huku maziwa yao yakiwa wazi licha ya kupakwa rangi ya dhahabu.
Tuesday, November 22, 2016
MUSIC: RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ – KOKORO (LISTEN & DOWNLOAD)
Sunday, November 20, 2016
Wasafi kumleta Amber Rose Dar mwezi ujao December 24
Katika kusherehekea Christmas mwaka huu, WCB wanatarajia kufanya show yao ya kwanza wakiwa pamoja, December 24 iliyopewa jina Wasafi Beach Party jijini Dar es Salaam.
Wasanii wote
wa label hiyo wakiongozwa na Diamond watatumbuiza. Lakini huenda kukawa na ugeni mkubwa wa staa wa nje na tayari meneja wa Diamond, Sallam ametease jina.
Picha: Zari ajiandaa na ujio wa mtoto wa pili na Diamond
Siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla.
Sikiliza Wimbo Mpya wa Diamond Aliyomshirikisha Neyo
Karibu watu 100 wafariki kwenye ajali ya treni India
Busungu Anusurika Kifo Ajalini Dakawa
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Malimi Busungu amenusurika kifo katika ajali ya gari jana jioni katika eneo la Dakawa akiwa njiani kuelekea mkoani Dodoma.
Menaja wa mshambuliaji huyo akithibitisha ajali hiyo alisema; “Kweli Busungu kapata ajali, na gari imeharibika vibaya sana. Ila Busungu mwenyewe amenusurika na yuko salama.”
Baadaye mshambuliaji huyo naye alithibitisha kutokea ajali hiyo lakini akamshukuru Mungu kwa kumnusuru na kutoka salama katika ajali hiyo.
Saturday, November 19, 2016
Manchester United Watoshana Nguvu na Arsenal
Manchester United wanaonolewa na Kocha asiyeishiwa maneno, Jose Mourinho waliyokuwa nyumbani kweye uwanja wao wa Old Trafford, wameshindwa kutamba mbele ya mahasimu wao Arsenal kwenye mechi ya Ligi Kuu England baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1.
Mechi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa na watu wengi sehemu mbalimbali dunian, imefanya mwendelezo wa matokeo ya Mourinho kikosini kwake kutokuwa ya kuridhisha kama watu wengi walivyokuwa wakitarajia wakati akitua kwa Mashetani Wekundu hao.
Katika mechi hiyo, kipindi chote cha kwanza timu zote zilienda mapumzikoni zikiwa sare ya bila kufungana, lakini baada ya kutoka mapumzikoni hali ilibadilika ghafla uwanjani huku kila timu ikifanya juhudi za hali na mali ili kuondoka na matokeo.
Wenyeji Manchester ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wao, juan Mata kunako dakika ya 68 baada ya kumalizia crosi nzuri kutoka kwa Ander Herrera. Olivier Giroud aliisawazishia Arsenal kunako dakika ya 89 ya mchezo huo.
Top 10 ya ma-star wa soka wanaomiliki mijengo ghali zaidi duniani
Kwa hakika mchezo wa soka unawalipa sana wanachezaji na hiyo imewafanya wengine kumiliki mijengo ya maana pengine sawa na matajiri wengine wakubwa duniani.
Hapa tunaangalia mijengo 10 ya wachezaji ya gharama zaidi na hapo utagundua baadhi yao tayari wameshastaafu lakini wamejumuishwa kukupa wewe taswira halisi namna ambavyo mchezo huu ulivyowawezesha wachezaji hao kupata makazi bora ya kuishi.
10. Kaka- $3 Million
9. Andres Iniesta: $4.6 million
8. Lionel Messi- $5 million
7. Mario Balotelli: $5 million.
6. Cristiano Ronaldo: $6 million.
5. Frank Lampard: $7 million.
4. John Terry: $7.5 million.
3. Wayne Rooney: $17.83 million.
2. David Beckham: $20 million.
1. Didier Drogba- $21million
Thursday, November 17, 2016
Zijue Dalili za Mwanamke aliyefika Kileleni
Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu
Subscribe to:
Posts (Atom)








