Tuesday, November 22, 2016

MUSIC: RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ – KOKORO (LISTEN & DOWNLOAD)

1FM Inakupa nafasi ya kusikiliza mdundo mpya kutoka WCB Wasafi, ni Rich Mavoko akiwa na C.E.O wa lebo hiyo Diamond Platnumz kwenye hii mpya ambayo wameipa jina la Kokoro. Ni mikono ya maproducer Laizer Classic pamoja na Abydad ndiyo ambayo imetumika katika ukamilishaji wa ngoma hii chini ya studio za Wasafi Records.

No comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system