Thursday, November 10, 2016

1FM : Maajabu Makubwa yaibuka Kwenye Harusi ya Nuh Mziwanda Ameowa Mwanamke Asiye Mtarajia



November 10 2016 moja kati ya stori zinazotrend katika mitandao ya kijamii hususani instagram ni kuhusu msanii wa bongofleva anayefanya vizuri katika radio na tv station za bongo kwa hit single yake ya ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda.
www.1fmtz.blogspot.com


Katika baadhi ya instagram account za watu mbalimbali wamepost picha zikimuonesha Nuh Mziwanda na mpenzi wake kuwa wameamua kufunga ndoa, 1FMTZ imeongea na Mziwanda na kuthibitisha kufunga ndoa lakini amesema amemuacha mkewe kwao kesho ndio watafanya sherehe na kuondoka na mkewe.

No comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system