Friday, November 11, 2016

1FMTZ>>>PICHA: Rais Magufuli Aangusha chozi kumuaga Samuel Sitta


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Novemba 11, 2016www.1fmtz.blogspot.com



  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akimfariji Mama Margareth Sitta, Mjane wa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Novemba 11, 2016.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akiwapa pole wanafamilia  wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Novemba 11, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akiwapa pole wanafamilia  wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Novemba 11, 2016























No comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system