Wednesday, November 9, 2016

1fmtz/ Mabeste: Bila Lisa mimi si chochote

Msanii wa muziki wa Hip Hop William ‘Mabeste’ Ngowi amedai kuwa pasipo mkewe Lisa yeye si chochote.Wawili hao wana wiki mbili tangu wafunge ndoa.
Rapper huyo ameliambia gazeti la Mtanzania, “Mke wangu ni kiongozi shupavu mwenye upeo Mkubwa, nadiriki kusema kwamba bila yeye mimi si chochote katika maisha yetu.”
Kwa sasa Mabeste na Lisa wanatarajia kupata mtoto wao wa pili baada ya Kendrick.
14733658_1879029112328063_7165559433320202240_n

No comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system