Monday, November 14, 2016

1FMTZ: Wema Sepetu na Model Calisah Matatani na jeshi la polisi Kwa kusambaza video yao chafu ya Ngono.

Weekend hii katika mitandao ya kijamii kumesambaa video inayomuonyesha malkia wa filamu nchini Wema Sepetu akifanya mapenzi na  model Calisah.



Wawili hao ambao walitumia nguvu nyingi kufanya siri mahusiano yao, wameumbuka kupitia video hiyo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii.
Akiongea na 1fm Jumatatu hii, Calisah amesema hajui ni nani ambaye amesambaza video hiyo mtandaoni kwani walikuwa nayo yeye pamoja na Wema.
Kutokana na sheria mpya ya matumizi ya  mitandao Huenda wawili hao wakawa matata kutokana na kusambaa kwa video yao chafu wakifanya ngono hadharani ambopo ni kinyume cha sheria, Na ikawa funzo  kubwa kwa watu wengine ambao nao huwa wanafanya matukio kama hayo.

No comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system